CMB
Prezzo ambaye kwa sasa anatamba na ngoma yake "For sure for shizzle,
ameamua kuzungumzia Beef yake na Mwanamuziki ambaye na yeye anaendelea
kuingiza mshiko kupitia ngoma yake inayokwenda kwa jina la KIGEUGEU
Anajulikana kama Jaguar.kuhusina na swala zima la kupatanishwa ili
kumaliza Tofauti zao , Prezzo amesema “nina bonge la saa ila sina time
ya kuongea nae kwa sababu hana Adabu, yani hata KOFI ANNAN aje
kutupatanisha, SITOKUBALI”
Chanzo
cha beef yao kilitokana na kauli nzito za JAGUAR zaidi ya mwaka mmoja
uliopita, ambazo amekua akiziendeleza kwamba PREZZO aache kujisifia
kila siku kwenye media kuhusu kutupia bling bling, afanye
muziki.kinachomkasirisha zaidi PREZZO ni kwamba, alieianza hiyo BEEF ni
JAGUAR, na aliianza pasipo kuchokozwa na CMB, na wala haikuwa kutokea
Prezzo akamkosea chochote JAGUAR hata kumsema vibaya.
HABARI HII NI KWA HISANI YA AMPLIFIER NA MILLARD AYO
Comments