Kocha
wa timu ya taifa ya mchezo wa ngumi, Edward Lyakwipa (kushoto)
akimwelekeza bondia, Mohamed Abdul jinsi ya kuikwepa ngumi huku ukiwa
kwenye gadi wakati wa mazaoezi ya kambi hiyo iliyopo uwanja wa ndani wa
taifa jijini Dar es salaam.(Picha na www.superdboxingcoach. blogspopt.com)
Baadhi
ya mabondia wa timu ya taifa ya Masumbwi wakifanya Mazoezi ya pamoja
katika kambi yao iliyopo Uwanja wa ndani wa Taifa Dar es salaam
leo.(Picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com)
Comments