waliofutiwa matokeo kurudia mitihaniNaibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo (kushoto) akitoa tamko jana jijini Dar es salaam kuhusu hatma ya wanafunzi waliofutiwa matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka 2011 ambapo Serikali imeamua watahiniwa 9,629 waliofutiwa matokeo kutokana na kubainika majibu yao kufanana kurudia mtihani wa darasa la Saba mwezi Septemba mwaka huu 2012 . Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Elimu ya Msingi Zuberi Samataba . MAELEZO WAZIRIMKUUNaibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo (kushoto) akitoa tamko jana jijini Dar es salaam kuhusu hatma ya wanafunzi waliofutiwa matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka 2011 ambapo Serikali imeamua watahiniwa 9,629 waliofutiwa matokeo kutokana na kubainika majibu yao kufanana kurudia mtihani wa darasa la Saba mwezi Septemba mwaka huu 2012 . Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Elimu ya Msingi Zuberi Samataba . MAELEZO WAZIRIMKUU
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo
Mulugo (kushoto) akitoa tamko jana jijini Dar es salaam kuhusu hatma ya
wanafunzi waliofutiwa matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi
mwaka 2011 ambapo Serikali imeamua watahiniwa 9,629 waliofutiwa matokeo
kutokana na kubainika majibu yao kufanana kurudia mtihani wa darasa la
Saba mwezi Septemba mwaka huu 2012 . Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Elimu ya Msingi Zuberi Samataba
. MAELEZO WAZIRIMKUU
Comments