MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA MRADI WA MAJI WA CHIUMBATI , APOKEA KADI YA MWENYEKITI WA CHADEMA (W) NACHINGWEA
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na wananchi wakati alipotembelea mradi wa maji wa
Chiumbati, Nachingwea, akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Lindi jana,
januari 20.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na wananchi wa Nachingwea, wakati alipokuwa akiondoka katika
mradi wa maji wa Chiumbati jana, januari 20, 2012. Picha na Muhidin
Sufiani-OMR
Makamu
wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha kadi ya CHADEMA baada ya
kukabidhiwa na Hassan Mkope (kulia) aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wa
Wilaya ya Nachingwea, aliyeamua kujiengua na kujiunga na CCM. Makamu
ameanza ziara yake katika Mkoa wa Lindi jana januari 20. Picha na
Muhidin Sufiani-OMR
Comments