O'Shea Jackson (amezaliwa tar. 15 Juni, 1969), anajulikana sana kwa jina lake la kisanii kama Ice Cube, ni rapa wa Kimarekani, mwigizaji na pia mwongozaji wa filamu. Anatazamika kama ni msanii mkubwa duniani wa muziki aina ya hip ho.
1992, Ice Cube alibadili dini na kuwa mwislam.
Kuanzia kati kati ya miaka ya 1990 na kuendelea, Cube aliegemea sana
katika shughuli za uigizaji, na shughuli zake za kimuziki zikawa
zinafikiliwa kama zina fifia kwakuwa hakuwa anaangaikia sana muziki kama
alivyokuwa mwanzo.
Cube anaendelea kukumbukwa kama mmoja wa walioonekana kuwa ni marapa wa West
Coast rappers, kwa kuwa alikuwa akitoa msaada mkubwa sana katika
vikundi vya rap.
Anafahamika hasa kwa uimbaji wake vile akizungumzia
siasa na sela za kibaguzi, kwasababu nyimbo nyingi za Ice zilikuwa
zikifikiriwa kama tiba kwa watu weusi wa Marekani. Ice Cube ni moja ya miamba unapo taka kufanua mazungumzo ya Hip Hop nilazima ujenge taswira hii ya jamaa.
Comments