Katibu wa
Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki
mchezo wa kuvutana kwa kamba na wafanyakazi wa Sahara Communications
Ltd, wakati wa Bonanza la wafanyakazi hao kwenye ufukwe wa ziwa
Victoria jijini Mwanza.
Nape na baadhi ya wafanyakazi wa sahara wakishangilia baada ya kundi lao kuwashinda wengine katika kuvuta kamba.
Comments