Baadhi
ya makocha wa mchezo wa ngumi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya
kukabidhiwa vyeti vyao wakati wa mafunzo ya kimataifa ya chezo huo
yaliyomalizika Kibaha Mkoa wa Pwani Jana huku wakiwa wameng'arishwa na
flana zilizotolewa na SUPER D BOXING COACH kama zawadi kwa makocha hao
nnchini.(Picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

Comments