Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akisoma maandishi ya jiwe la nyumba ya makatari baada ya kufungua
pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi Nyumba ya madakatari wa
Norway, katika Chuo cha Sayansi ya Afya Mbweni,ikiwa ni miongoni mwa
shamra shamra za miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar,( kushoto) Waziri wa
Afya wa Norway,Anne Crestrestom Erichsen.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi Nyumba
ya madaktari wa Norway Chuo cha Sayansi ya Afya Mbweni,ikiwa ni
miongoni mwa shamra shamra za miaka 48 ya Mapinduzi
Picha na Othman Ramadhani-IKULU


Comments