Maafisa wa jeshi la polisi wakijiandaa kutoa ulinzi kwenye mkutano
Akina mama wakitumbuiza na kucheza mduara kabla ya mkutano kuanza
Bwana Salum Bimani, mkurugenzi wa haki za binadamu CUF akiwasili jukwaani
Naibu
katibu mkuu Zanzibar na muwakilishi wa Mjimkongwe Mh.Ismail Jussa Ladhu
ndiye alikuwa mgeni rasmi wakati wa mkutano wa kuzindua kampeni
Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye mkutano wa CUF jana Kiboje jimbo la Uzini
Na mdau wa Mjengwablog,Zanzibar
Comments