Skip to main content

RAIS DK. SHEIN AMUAPISHA MKURUGENZI WA MASHTAKA ZANZIBAR


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akimuapisha Ibrahim Mzee Ibrahim,kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo. (PICHA NA RAMADHAN OTHMAN WA IKULU ZANZIBAR)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akimuapisha Mahmoud Mussa Wadi, kuwa Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha na Ibrahim Mzee Ibrahim, Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar,(kulia) na Mahmoud Mussa Wadi, Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar,baada ya kuwaapisha kushika nafazi alizowateuwa,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wakuu wa Serikali baada ya kuwaapisha Ibrahim Mzee Ibrahim, Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar,(kushoto kwa Rais) na Mahmoud Mussa Wadi, Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar,(kushoto kwa Rais) katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini

Comments