Machalii
wa Arusha Ndugu pacha na Jambo squad wanaofahamika zaidi kama
MAALMANDO,wanakuja na pini brand new la "RAKATA" ikiwa ni genre ya
kwaito-mdundix ikiwa ni brand new style mojawapo wanayokuja nayo
wasanii hawa wenye maskani yao pande za Arachuga mtaa wa cheka na
mecca!Ngoma tumerekodi kwa Defxtro a.k.a DX pande za noizmekah.com
juu ya beat la producer Mosco wa PYG Majengo apa apa pande za
ARA,Maalmando tunawaahidi fans wetu mwendelezo mnene katika muziki huu
mwaka 2012 na mpango mzima ni hela so tuendeleze hasoling kusakanya
dinari arif...ooooooH .Hari hii kwa Inatoka Pro24.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

Comments