Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Benard Membe
akimtunukia Afisa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa ambaye amewahi kuwa
Miss Tanzania 1999 na Mwandishi wa kitabu NAYAKUMBUKA YOTE Hoyce
Temu Stashahada ya Uzamili katika Menejimenti ya Mahusiano ya Kimataifa
(Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations) katika
Mahafali ya Kumi na Sita ya Chuo cha Diplomasia jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Benard Membe katika Picha ya Pamoja na wahitimu Stashahada
ya Uzamili katika Menejimenti ya Mahusiano ya Kimataifa (Post Graduate
Diploma in Management of Foreign Relations). Wa tatu kutoka kushoto
waliosimama ni Hoyce Temu.
Hoyce Temu akiwa na mtoto wake Ruby.
Hoyce
Temu katika picha ya pamoja na familia yake. Kutoka kushoto ni Dada
zake Mrs. Shose Minja, Pendo Matee Makwaiya, Rafiki yake Emelda pamoja
na Mama yake Mdogo Bi. Edith Max.
Na Zainul Mzinge Inatoka kwa mdau Mjengwa.
Comments