Thierry Henry
Thierry Henry amerejea Arsenal kwa kishindo na kuisaidia timu hiyo kusonga mbele katika michuano ya Kombe la FA baada ya kufunga bao pekee katika mchezo dhidi ya Leeds United. Arsenal wamesonga mbele baada ya kupata ushindi wa bao 1-0. Henry, 34, alifunga goli lake la 227 kwa Arsenal baada ya kurejea kuichezea klabu hiyo.
Comments