Siku ya Wanawake Duniani 8 march . Je, Unaielezeaje siku hii katika harakati za ukombozi wa mwanamke?
Taasisi ya mafunzo ya Jinsia na Maendeleo- GTI
Je, Unaielezeaje siku hii katika harakati za ukombozi wa mwanamke?
MWAJUMA MKOMBOZI
Huyu ni moja ya walionufaika na harakati za ukombozi wa wanawake . Ni mwanafunzi wa darasa la sita chini ya udhamini wa SADC kwa kushirikiana na TGNP.
Na hivi ndivyo alivyosema kuhusu siku ya wanawake duniani.
“Nawasihi wanafunzi wenzangu wasichana wasidanganyike”
ANNA KIKWA
Ni
siku nzuri ya kukumbusha serikali wajibu wake katika harakati za
ukombozi wa wanawake na kuleta usawa katika Nyanja zote za Maendeleo.
Asilimia 30% ya wanawake na 70% kwa wanaume katika bunge la Tanzania bado hainifurahishi, kwani azimio lilikuwa 50:50. “wanawake ni raia wa ulimwengu, wana haki zao na hizo haki sio mapambo hivyo basi zifanyiwe kazi.”
Comments