Hardmad amewataka mashabiki wake watarajie vitu vipya na vikali kwa mwaka 2012 kwa vile ameamua kutoka kivingine .
Hivi karibuni, msanii huyo aliipua kibao kikali kinachojulikana kwa jina la 'Ujio mpya', akiwa amemshirikisha msanii Enika.
“Napenda kuwaambia wasanii wangu kwamba watarajie vitu vya kikubwa na ujio mpya kwa sababu hata jina langu sasa limebadilika. Kwa sasa najulikana kwa jina la Mkushi Moja,”alisema msanii huyo.


Comments