VIFIJO NA NDELEMO VYATAWALA USIKU WA JANA CHUO KIKUU CHA DODOMA BAADA YA BARCELONA KUFUNGASHIWA VILAGO
Wanafunzi wa UDOM walipokuwa
wakishangilia baada ya barcelona kutolewa na Chelsea katika Ligi ya
Mabingwa kwa jumla ya Magoli 3 kwa 2 hapo jana usiku baada ya Mechi
kumalizika
Ndelemo na Vifijo vilitawala takriba
nusu saa katika Chuo Kikuu Cha Dodoma Usiku wa Jana mara baada ya
barcelona Kufungashiwa vilago na Chelsea katika raundi ya pili ya Nusu
fainali ya ligi ya UEFA ambapo barcelona waliondolewa kwa jumla ya
Magoli 3 kwa 2 dhidi ya Chelsea.Chanzo ni mdau Lukaza.
Comments