Skip to main content

Kanisa Anglikana Zanzibar Lapata Askofu Mpya


Askofu Mkuu wa Dayosisi Tanzania Dr.Valentino
Mokiwa,(kulia)akimtambulisha kwa waumini Askofu wa Kumi wa Dayosisi ya
Zanzibar Padre Michael Henry Hafidh,baada ya kumalizika ibada maalum
ya kumuweka Wakfu,katika Kanisa Kuu la Mkunazini leo.[Picha na
Ramadhan Othman IKulu.]
 Askofu Mkuu wa Dayosisi Tanzania Dr.ValentinoMokiwa,(mbele) akiongoza maaskofu katika sherehe za kumuweka Wakfu Padre Michael Henry Hafidh,kuwa Askofu wa kumi wa Dayosisi ya Zanzibar Kanisa Kuu la  Mkunazini Mjini Zanzibar jleo.    [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipeana mkono na Askofu wa Dayosisi ya
Zanzibar Padre Michael Henry Hafidh,baada ya kuwekwa Wakfu wa Dayosisi
hiyo leo,katika hafla iliyofanyika Kanisa  Kuu la Mkunazini Mjini
Unguja.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(wa nne kushoto) Rais Mstaafu wa Tanzania
Benjamin Mkapa na Mkewe Mama Anna Mkapa,Askofu Mkuu wa Dayosisi
Tanzania Dr.Valentino Mokiwa (katikati) wakiwa katika picha ya pamoja
na Maaskofu mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya ibada ya
kumuweka kuwa Wakfu Padre Michael Henry Hafidh,(wa tatu kushoto) kuwa
Askofu wa kumi wa Dayosisi ya Zanzibar katika  Kanisa Kuu la Mkunazini
Mjini Zanzibar leo,(wa pili kushoto) Mke wa Askofu wa Dayosisi ya
Zanzibar Merry Michael .[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Saudi King urges U.N. action against religious insults

Saudi King Abdullah urged the United Nations to produce a resolution condemning insults on monotheistic religions after the anti-Islam film in the U.S. that sparked deadly protests in many Muslim countries last month. (AFP) By AFP, MINA/SAUDI ARABIA Saudi King Abdullah on Saturday demanded a U.N. resolution condemning insults on monotheistic religions after a low-budget film produced in the U.S. sparked deadly protests last month. “I demand a U.N. resolution that condemns any country or group that insults religions and prophets,” he said during a meeting at his palace with religious figures and heads of hajj delegations in the Mina valley where pilgrims were performing final rituals of hajj. “It is our duty and that of every Muslim to protect Islam and defend the prophets.” A low-budget film produced in the U.S., Innocence of Muslims, triggered a wave of deadly anti-American violence last month across the Muslim world targeting US symbols ranging ...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...