Skip to main content

Miss Kutangaza Utalii Marekani


Miss Tanzania Mariam Hamis akiwa jukwaani
 warembo wakiwa Bagamoyo
Warembo wawili wa Miss Utalii Tanzania 2011, watawakilisha Tanzania katika Shindano la Dunia la Miss United Nation 2012, litakalo fanyika July 28 huko calfonia Marekani.Shindano hilo linashirikisha zaidi ya nchi 100 duniani kote.

Hii itakuwa ni fulsa nyingine ya pekee kwa nchi yetu kutangaza vivutio vya utalii wa Tanzania , huko nchini marekani na duniani kwa ujumla. Warembo hawa pamoja na kwenda kutangaza utalii na utamaduni wa Tanzania kwa ujumla, lakini watapeleka ujumbe mahususi kwa wamarekani na Dunia kwa ujumla juu ya mlima kilimanajaro,Seremgeti na Ngorongoro Crater kuwa viko tanzania na ni mali ya tanzania. Hii itasaidia kuondoa na kupambana na propaganda za nchi nyingine kuwa vivutio hivyo vipo kwao.

Tunafanya mpango wa kupata matilio mbalimbali kutika mamlaka ya Hifadhi za taifa (TANAPA), mamlaka ya bonde la ngorongoro (NCAA) na Bodi ya Taifa ya Utalii, za mlima kilimanjaro,serengeti na ngorongoro ikiwemo machapisho vijarida,vipeperushi, mokanda ya video,DVD na VCD zikiwa katika lugha mbalimbali, ambavyo warembo wetu watagawa kwa washiriki wa nchi zote ,na vyombo mbalimbali vya habari vya nchi hizo vitakavyo ambatana na washiriki wao,pia kupitia waandaaji hao wa dunia tutagawa katika  vituo mbalimbali vya televisheni na magazeti nchini marekani.

Aidha mchakato wa kupata wadhamini wa kugharamia safari na ushiriki huo umeanza na unaendelea vizuri.

Mariamu Hamisi ni mshindi wa Miss Utalii Dodoma 2011 na mshindi wa taifa wa tuzo ya Miss Utalii tanzania 2011 - Gender,wakati Evamary Gamba ni mshindi wa Miss Utalii tanzania Kilimanjaro 2011 na mshindi wa Taifa wa tuzo ya Miss Utalii Tanzania 2011 - Mount Kilimanjaro. Matarajio ya kutwaa taji ni makubwa kutokana na ukweli kuwa washiriki wetu wanakidhi matakwa na kanuni za kushiriki na kushinda taji la Miss United Nation World.

kabla ya kuondoka warembo hawa watafanya ziara za mafunzo kati hifadhi za Kilimanjaro,Ngorongoro na Serengeti, kwani ndo ajenda na kipaumbele cha ushiriki wetu katika mashindano hayo mwaka huu. Aidha bodi ya maandakizi ya Miss utalii tanzania ,imepitisha kuwa washiriki wote wa Miss Utalii tanzania katika mashindano ya kimataifa na dunia watatumia ligha ya kiswahili ,stejini ili kukitangaza kiswahili, kama ambavyo mataifa na washiriki wa mataifa mengine wamekuwa wakitumia lugha za nchi zao na kushinda mataji.

Miss Tourism Tanzania  Symbol Of National Heritage - Do Value Added Pageant
"Lets Visit & Promote Tanzania National Parks -Tourism is Life ,Culture is Lining"
Regard,
Gideon E.G. Chipungahelo
PRESIDENT / C.E.O
Hotline: + 255 - 715/754/773 - 318 278.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Mushikiwabo to UN: Enhance civilian protection

By Eugene Kwibuka Rwanda’s Minister of Foreign Affairs and Cooperation has urged the United Nations Security Council (UNSC) to invest more energy in the prevention of conflicts for better protection of civilians living in conflict-torn areas. Rwanda’s Foreign minister, Louise Mushikiwabo Louise Mushikiwabo made the call during an open debate on the protection of civilians in armed conflict which the UNSC held in New York on Tuesday. “Rwanda’s core message today is that enhancing the protection of civilians in armed conflict requires action before a conflict starts. The proliferation of non-state armed groups makes civilian protection both more urgent, and harder to achieve,” she said. For better protection of civilians in armed-conflict areas, the minister emphasised the need to increase investments in professionalising the military and police forces through adequate training. “Only when the leadership of armed forces shares the international...

Saudi King urges U.N. action against religious insults

Saudi King Abdullah urged the United Nations to produce a resolution condemning insults on monotheistic religions after the anti-Islam film in the U.S. that sparked deadly protests in many Muslim countries last month. (AFP) By AFP, MINA/SAUDI ARABIA Saudi King Abdullah on Saturday demanded a U.N. resolution condemning insults on monotheistic religions after a low-budget film produced in the U.S. sparked deadly protests last month. “I demand a U.N. resolution that condemns any country or group that insults religions and prophets,” he said during a meeting at his palace with religious figures and heads of hajj delegations in the Mina valley where pilgrims were performing final rituals of hajj. “It is our duty and that of every Muslim to protect Islam and defend the prophets.” A low-budget film produced in the U.S., Innocence of Muslims, triggered a wave of deadly anti-American violence last month across the Muslim world targeting US symbols ranging ...