"Rushwa
inavyotembezwa katika uchaguzi wa Wabunge wa Afrika Mashariki inatia
simanzi sana. Haingii akilini kwangu kabisa kwamba Mbunge anahongwa ili
kuchagua Mgombea fulani. Nchi hii inanuka uvundo. Uvundo wa Ufisadi.
Sasa ni sahihi nchi hii kubatizwa jina jipya FISADISTAN 'The Land of
The Corrupt'"- Zitto Kabwe.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

Comments