Kocha
wa mchezo wa Masumbwi Abdalah Ilamba 'Komandoo' akimfanyisha mazoezi ya
kukaza misuli ya tumbo bondia Francis Cheka Dar es salaam jana Chaka
anajiandaa na mpambano wake na Mada Maugo utakaofanyika jumamosi hii
katika ukumbi wa PTA Sabasaba ambapo mshindi atakuwa bingwa wa Mkanda
wa I.B.F na atanyakua Zawadi ya gari. Picha na Superdboxingcoach.Blog
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments