Historia ya Kiswahili imeanza takriban miaka 1000 iliyopita kwenye pwani ya Afrika ya Mashariki.
Neno Swahili ni neno la asili ya Kiarabu Sahil lenye
maana ya pwani; sawahil ’’as-sawāhilī’’ (السواحلي) ni wingi wake kwa
kumaanisha yote yanayohusiana na pwani, watu au utamaduni wa eneo la
pwani.
Lugha ya kwanza ni lugha ya mtu ambayo anaiongea kama lugha yake ya kwanza tangu utotoni. Pia lugha hiyo huitwa lugha ya mama (kwa Kiingereza "mother tongue") kwa vile watu wengi hujifunza lugha yao ya kwanza kutoka kwa mama mzazi.

Comments