NI mtayarishaji muzikiki (Prodyuza) John Sheiza 'Man Water' kupitia studio za Combination Sound
iliyopo maeneo ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
Mkali huyu tayari amesha weza kufanikisha kuwatoa wasanii kama 20 Percent
anaetikisa 'gemu' kwa mda mrefu sasa , pia track la Ali Kiba linalo 'shine' liitwalo 'Dushelele' .
Mkali huyo ambaye 20 Percenti upenda kumwita 'Combinenga'
anamambo kibaaaoooo ambayo nitaendelea kuyarusha siku za usoni.
Comments