Blogger wa siku nyingi, Haki Ngowi, ambaye hublog kupitia hapa,
jana alijiunga rasmi na klabu ya wakubwa pale alipofunga ndoa na Edna
Kyando,katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar-es-salaam na
baadaye kuungana na ndugu,jamaa na marafiki katika sherehe ya pongezi
iliyofanyikia katika Hotel ya Golden Tulip.
BC inapenda kuwapongeza Haki na Edna na kuwatakia kila la Kheri katika maisha yao mapya.Congratulations.
Kwa picha zaidi kutoka katika tukio hili, BONYEZA HAPA.
Comments