Waziri
Mkuu Mizengo Pinda ( wa kwanza kulia) akizungumza na mkulima wa vikundi
wa Kijiji cha Pangawe, Zarau Hemedi ( kushoto) alipokuwa akikagua
shamba darasa ya mradi wa maendeleo jumuishi vijijini unaoendeshwa na
Shirika la Maendeleo ya Serikali ya Korea Kusini ( KOICA) , ( wapili
kutoka kulia ) ni Balozi wa Korea Kusini hapa nchini, Kim Young-Hoon .
Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinga akikagua zana za kilimo za kijiji cha mfano cha kilimo cha Pangawe
Balozi
wa Korea Kusini hapa nchini, Kim Young-Hoon akikunjua kutambaa kwenye
bango lililoandikwa maelezo ya mafunzo kwa vikundi vya wakulima wa
Kijiji cha Pangawe , huku Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiyasoma kwa
makini wakaati alipokuwa akikagua shamba darasa ya mradi wa maendeleo
jumuishi vijijini unaoendeshwa na Shirika la Maendeleo ya Serikali ya
Korea Kusini ( KOICA) . Picha na John Nditi
Comments