Kocha wa zamani wa Taifa Stars Marcio Maximo akimsalimu mke wa Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete alipokwenda kuwasalimia
katika hoteli ya Tivoli jijini Sao Paulo.
![]() |
| Kocha wa zamani wa Taifa Stars Marcio Maximo akisalimiana na Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipokwenda kumsalimia Rais katika hoteli ya Tivoli jijini Sao Paulo(picha na Full Shangwe Blog) |


Comments