Kundi
la wanawake wamevua nguo, nusu uchi kulalamikia kitendo cha polisi wa
Uganda anayedaiwa kumdhalilisha kingono mwanasiasa wa upinzani. Kanda
ya video imeonyesha polisi akimtomasatomasa matiti Bi Ingrid Turinawe
wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) baadaya
kumkamata kuzuia maandamano ya wiki jana.
Naibu kamishina wa polisi Andrew Kaweesa ameomba radhi na kuahidi kufanya uchunguzi kutokana na tukio hilo. Tangu uchaguzi mkuu mwaka 2011 ambapo rais Yoweri Museveni alishinda Uganda imeshuhudia maandamano ya upinzani ambapo wafuasi wengi wameishia celi za polisi.
Naibu kamishina wa polisi Andrew Kaweesa ameomba radhi na kuahidi kufanya uchunguzi kutokana na tukio hilo. Tangu uchaguzi mkuu mwaka 2011 ambapo rais Yoweri Museveni alishinda Uganda imeshuhudia maandamano ya upinzani ambapo wafuasi wengi wameishia celi za polisi.
Tukio la wiki jana lilipelekea kuwepo ghadhabu ya umma ambapo pia lalama zilitanda kupinga kukamatwa kwa Bi Turinawe ambaye ni kiongozi wa tawi la wanawale katika chama cha FDC kinachoongozwa na Kizza Besigye.
Mwandishi wa BBC Siraj Kalyango amesema wanawake hao waliandamana hadi kituo cha polisi wakiwa vifua wazi na kupeperusha mabango yaliokuwa na maandishi,''utahisi vipi ikiwa sehemu zako nyeti zitafinywa''.Wanawake sita walikamatwa baada ya kukataa kufunika vifua vyao, lakini wakaachiwa huru bila masharti yeyote.
Several
women were on Monday morning arrested after stripping down to their
bras at Kampala Central Police Station (CPS) as they protested the
brutal manner in which the opposition Forum for Democratic Change
Women’s League leader Ingrid Turinawe was arrested last Friday.
Ms Turinawe was assaulted on Friday as the police blocked a rally called by the opposition in Nansana, outside Kampala.
When they
reached CPS, they stripped down to their bras, prompting the police to
order them to leave the station. They were arrested after they refused
to heed to this call.
The Daily Monitor is yet to ascertain how many women were arrested. Inatoka kwa mdau.
Comments