
aliyekuwa
mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini kwa tiketi ya CCM Mhe. Aeshi Hillal
akiwa katika mazungumzo waziri mkuu Mizengo Pinda (kulia)

aliyekuwa
mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini kwa tiketi ya CCM Mhe. Aeshi Hillal
akiwa katika mazungumzo na Rais Jakaya Kikwete

Aliyekuwa
mbunge wa CCM jimbo la Sumbawanga Aeshi Hilla akiwa katika moja kati ya
mikutano yake ya kampeni zilizompa ubunge ambao leo umekoma.
Mahakama
imetengua ubunge wa aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini kwa
tiketi ya CCM Mhe. Aeshi Hillal hivyo kuanzia sasa jimbo hilo lipo wazi
kwa ajili ya uchaguzi mwingine kama ilivyo kwa jimbo la Arusha mjini .Inatoka kwa mdau.
Comments