Wasanii wanaochipukia kutoka mkoani Dodoma waliojitokeza katika ukumbi
wa Club 84 katika usaili wa kuwa kati ya wasanii watakaotumbuiza kwenye
tamasha la ziara ya washindi itakayofanyika mkoani humo Jumamosi ya
tarehe28 mwezi huu katika viwanja vya Jamhuri.
Mmoja wa washiriki akihojiwa na waratibu mpaka jana jioni watapatikana
washindi watatu ambao watauwakilisha mkoa wa Dodoma katika Tamasha la
washindi wa tuzo za Kilimanjaro za msimu huu litakalofanyika Jumamosi
hii
Majaji wa kusaka vipaji vipya vyaZiara ya washindi wa Kili Awards 2012
mkoani Dodoma, Joseph Haule, Henry Mdimu, Queen Darleen na Juma Nature
Mmoja
kati ya wakazi wa dodoma waliojitokeza kuwania kutumbuiza jukwaa moja
na washindi wa tunzo za kili za mwaka huu akishiriki kuwania nafasi
hiyo nje ya ukumbi wa 84 mkoani Dodoma.Nimeitoa kwa Mjengwa.
Comments