Rais Jakaya Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu
Adam
Mwakanjuki mapema asubuhi leo April 22, 2012 katika kambi ya JWTZ ya
Kikosi cha Anga kabla ya kupelekwa Zanzibar kwa mazishi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange na Mh Aboud wakiangalia wakati jeneza lenye mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Adam
Mwakanjuki ulipokuwa unaingizwa katika ndege mapema asubuhi leo April
22, 2012 katika kambi ya JWTZ ya Kikosi cha Anga kabla ya kupelekwa
Zanzibar kwa mazishi.
PICHA NA IKULU
Comments