Mwanamuziki Beyonce
Knowles amemuandikia barua ya wazi mke wa Rais wa Marekani,Michelle
Obama akimpongeza kwa ujasiri..Beyonce ambaye ni mama wa mtoto mmoja na
ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 30,aliweka ujumbe kupitia mtandao
akimtaja Michelle ni Mwanamke mweusi wa kupigiwa mfano Nchini
Humo"Najivunia kuzaa mtoto wa kike katika Ardhi hii yenye mwanamke
mweusi Jasiri kama kuitunza familia yako na upendo wako kwa
familia,"Nyota huyo alikuwepo katika Hafla ya uchangiaji Fedha na
Michelle alisema anampenda mwanamuziki Beyonce..Mume wa Beyonce Jay-Z
ambaye ni mwimbaji maarufu Duniani kwa pamoja wanamuunga mkono Obama
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

Comments