Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
na Mwenyekiti wa Bodi wa Benki ya ACB ya jijini Arusha, Dkt. Jonas
Kipokola, wakifunua kitambaa kuashiria kuweka Jiwe la Msingi katika
Benki hiyo mpya wakati Makamu alipofika jijini humo kuizindua rasmi leo
Aprili 16, 2012.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
na Mwenyekiti wa Bodi wa Benki ya ACB ya jijini Arusha, Dkt. Jonas
Kipokola, wakifurahia baada ya kuzindua rasmi na kuweka Jiwe la Msingi
katika Benki hiyo mpya wakati Makamu alipofika jijini humo kuizindua
rasmi leo Aprili 16, 2012(picha na Muhidin Sufian OMR
Comments