HAPA yupo mzingoni ilikuwa nyakati za jioni saa moja hivi
alisema "natafuta mzuka ndio maana nimesimama namna hii' na huu ndio umuhimu wa mtayarishaji kuwa na studio ndani anapoishi. "
Studi ya mtayarishaji wa muziki hinapaswa kuwa karibu sana kwani kuna muda filingi zinakuja za kutaka kufanya jambo kama hivi .Alimalizia kunena
John Sheiza 'Man Water' kutoka studio ya Combination Sound iliyopo maeneo ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
Comments