Tumelazimika kuelezea historia ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
siyo tu kuonyesha mchakato ambao muungano huo umepitia, bali pia
kuwakumbusha Watanzania kwamba muungano huo ulikuwa wa aina yake katika
Bara la Afrika, kutokana na ukweli kwamba nchi nyingi zilizotaka
kuungana zilishindwa, huku Senegal na Gambia zikisambaratika mara tu
baada ya kuungana. Tayari tumeshuhudia nchi zilizokuwa kitu kimoja kama
Sudan na Ethiopia zikisambaratika na kuzaa Sudan ya Kusini na Eritrea.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments