FRANCIS CHEKA BADO MBABE WA NGUMI TANZANIA anyakua gari
Bondia
Francis Cheka jana alijidhihirishia kwamba yeye bado ni bondia bora
Tanzania baada ya kumchapa kwa TKO bondia Mada Maugo katika raundi ya
saba ya mchezo wa raundi 12.Mada Maugo baada ya kuona kwamba alizidiwa
vyakutosha katika raundi ya 6 ilipotaka kuanza raundi ya saba hakakataa
kuendelea na kusema amekubali kushindwa kwani hana pumzi tena za
kuendelea na raundi zingine.(picha kutoka maktaba)
Comments