Mapenzi ni uongo??Ni swali gumu ambalo laweza kuwa jepesi
pia!Usishangae na wala usibishe.Ndio ukweli.Kinyume cha hapo
unaniongopea.Nidanganye. Kuna wakati lala lalal lalala za mapenzi hujaa
uongo unaopendeza. Wenzetu wa huko mbele wanasema Sweet Nothings.Utupu.
Ukweli unauma…nakupenda!
Kuna wakati mapenzi hupumbaza.Unachoambiwa na mhusika ndicho
unachokielewa na kukikubali. Nakupenda wewe zaidi ya mwingine.Unakubali
hata kama kila mtu anakwambia sio kweli.Mpo wengi. Analosema ndio
sheria.Ni wewe tu.
Maudhui hayo ya mapenzi ndio yaliyomo katika wimbo mpya kutoka kwa Shetta akiwa amemshirikisha Diamond.
Kama wimbo unavyoitwa Shetta na Diamond wanasema Nidanganye…ukiniambia
ukweli roho itauma sana.Nitaumia. Diamond anasema kwenye chorus kwamba
hata akimkuta chumbani kakumbatiwa…mmmmh!!
Hii ni production nyingine kutoka kwa KGT. KGT ni Producer ambaye
kwa maoni yangu,he is one of the best. Hasikiki sana kama wengine coz
he is such a cool and quite guy. Huu hapa Nidanganye.
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.Inatoka BongoCelebrity.
Comments