Loveness Edwin Mamuya ambaye alikuwa mgombea wa Urais kwenye mkutano wa uchaguzi uliofanyika Jumapili Aprili 15, 2012 na kupata kura 119.
Jacop Kinyemi aliyekuwa kwenye kinyang'anyiro cha Ukatibu Mkuu na kuwa wa pili kwa kura 82, Amos Cherehani ndiye aliyeshinda Ukatibu Mkuu kwa kura 192 na Rhoda Kasamba kwenye nafasi ya Ukatibu Mkuu alipata kura 40.
Wajumbe
wa Bodi ambao wote walipita kwenye uchaguzi huo kutoka kushoto ni Al-
Amini Chande, Dr. Hamza Mwamoyo, Eliserena Kimolo, Grace Sebo Mgaza na
Haruni Ulotu.
Maafisa Ubalozi wakifuatilia uchaguzi huo.
Mgombea Uraisi Loveness Mamuya (kati) akifuatilia mkutano wa uchaguzi.
Mselem (kushoto) na Dr. Mwamoyo Hamza, Kamati ya Kurekebisha Katiba ambayo pia ilisimamia uchaguzi wakitayarisha vitendea kazi na kuweka mambo sawa kabla ya upigaji kura.
Mgombea wa Urais Iddi Sandaly (kati) akifuatilia mkutano wa uchaguzi.
Watanzania wa DMV wakiwa mkutanoni.
Watanzania wa DMV wakiwa mkutanoni.
Watanzania
wa DMV ambao Jumapili Aprili 15, 2012 walifika kwa wingi na kuandika
historia mpya kwa kuwachagua viongozi watakaoongoza Jumuiya DMV ambayo
ilikuwa inalegalega tangia 2007.
CHANZO:
Comments