Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Mstaafu wa Brazil Mh Luis Inancio Lula da Silva alipokwenda kumjulia hali jijini Sao Paulo jana. Kushoto ni balozi wa Tanzania nchini Brazil Mh Francis Malambugi na wa pili kushoto ni balozi wa Brazil nchini Tanzania Mh Francisco Carlos Luz.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Rais Mstaafu wa Brazil,Mh. Luis Inancio Lula da Silva baada ya mazungumzo yao alipokwenda kumjulia hali jijini Sao Paulo,nchini Brazil jana.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais Mstaafu wa Brazil Mh Luis
Inancio Lula da Silva alipokwenda kumjulia hali jijini Sao
Paulo,Brazil.PICHA NA IKULU.
Comments