Mpango mzima wa nyama choma katika sherehe za kumpongeza mwenyekiti wa jumuiya ya waTanzania DMV Mh. Rais Iddy Sandaly na uongozi mzima wa Jumuiya ya waTanzania Nchini Marekani.
Mzee njee njee katika mpango mzima wa makarangizo ya madikodiko ndani ya jiko
Muimbaji wa Bongo Flava marufu kwa jina la Suma Lee akipata picha ya pamoja na warembo wa Washington DC
Waana jumuiya wakipata picha ya pamoja
Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Mh. Iddy Sandaly akipata nyama choma ilioandaliwa kwa kupongezwakwa ushindi.
Ev. Lucas Moshi akipata picha na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Mh. Iddy Sandaly
Mjomba Mashaka akiwa na kocha wa Yanga ya ughaibuni Yassin Randi
Dj dave akitoa burudani ndani ya nyumba
Sherehe ndani ya hali halisi ndivyo ilivyo furaha na pongezi kwa viongozi walionyakua ushindi
Dj Dav na Dj Muddy watoa burudani kwa wana Jumuiya ya waTanzania DMV ndani ya nyumba
Wana jumuiya ya Dmv wakipata picha ya pamoja katika sherehe za kumpongeza Mh Iddy Sandaly
Latifa Ombi na Jabiri Jongo wakipata nyama choma nyuma ya nyumba mitaa ya kavurugeni muondoke Hyattsville Maryland nchini Marekani.
Suma Lee akipata flash na Rais wa Jumuiya ya waTanzania DMV Mh. Iddy Sandaly ndani ya nyumba katika sherehe za kumpongeza rasmi kwa ushindi wa kiti cha Urais
Wadau wakilisakata rumba (Picha ya kulia) Autie Shou ndani ya nyumba

Inatoka kwa mdau.
Comments