Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa meza kuu na mwenyeji wake Rais wa
Brazil Mama Dilma Rousseff na wajumbe wengine katika ukumbi wa
mikutano wa Brasilia Convention Centre jijini Brasilia, Brazil, April
17, 2012 wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Open Government Partnership.
Kulia ni Waziri wa mambo ya Nje wa Marekani Bi Hilary Clinton
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika ukumbi wa mikutano wa
Brasilia Convention Centre jijini Brasilia, Brazil, April 17, 2012
katika mkutano wa Open Government Partnership Wajumbe wa Tanzania kutoka taasisi mbalimbali za kiraia na serikali wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Brasilia Convention Centre jijini Brasilia, Brazil, April 17, 2012 wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Open Government Partnership.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri Mkuu wa Georgie Mh Nika
Gilauri katika ukumbi wa mikutano wa Brasilia Convention Centre
jijini Brasilia, Brazil, April 17, 2012 baada ya kuhudhuria mkutano wa
Open Government Partnership
Picha na IKULU
Comments