Skip to main content

KOFFI OLOMIDE APATA KIBALI CHA KUIMBA NYIMBO ZA TABU LEY


Baada ya Concert yake iliyofana ya Koffi Chante Tabu Ley na Koffi chante Lutumba mwanamuziki nguli Koffi Olomide ameomba ruhusa kwa watoto na familia ya marehemu Franko Luambo Luanzo Makiadi ili aweze kupiga Concert na huku akiimba nyimbo za mwanamuziki huyo mahiri aliyetamba na bendi ya T.P Ok Jazz
Koffi amesema kuwa kutokana na Matukio yaliyojiri kwa wanamuziki wa Congo waliokuwa wakim support Rais Kabila huko Europe ameamua kuongeza show zake nchini Congo na anataka awaridhishe mashabiki wake kwa kuwapa ladha na kile kitu roho inapenda.
Akiongea na Digital Congo Koffi amesema kuwa anajiimarisha kwenye ziara za Africa zaidi kwa mwaka huu ambapo amepanga kufanya maonyesho kadhaa.
Kwa mujibu wa habari ambazo zimetolewa na Koffi mwenyewe anasema kuwa amepanga onyesho hilo la kumuenzi Luambo limepangwa kufanyika July 7, 2012, kwenye bwawa la kuogelea la Hoteli maarufu ya The Grand huko Kinshasa.Koffi amesema kuwa mazungumzo yameshafanywa ya awali na tayari familia ya marehemu iliwakilishwa na Emongo ambaye anasema kuwa alimuandikia yeye binafsi na kumuomba aziimbe hizo nyimbo za marehemu baba yao na mazungumzo yakaanzia hapo.Haikuwa jitihada zangu bali ni wanafamilia ya Mareemu hasa baada ya kuona picha na video za show ya Simaro Lutumba na Tabu Ley.
“Nisingeweza kukataa nafasi hiyo adhimu ya kuiimba sauti ya yule mzee kwakweli hata ungekuwa wewe ndio mwenye kipaji kama changu usingekataa aliongeza Koffi”...Inatoka kwa mdau.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Mushikiwabo to UN: Enhance civilian protection

By Eugene Kwibuka Rwanda’s Minister of Foreign Affairs and Cooperation has urged the United Nations Security Council (UNSC) to invest more energy in the prevention of conflicts for better protection of civilians living in conflict-torn areas. Rwanda’s Foreign minister, Louise Mushikiwabo Louise Mushikiwabo made the call during an open debate on the protection of civilians in armed conflict which the UNSC held in New York on Tuesday. “Rwanda’s core message today is that enhancing the protection of civilians in armed conflict requires action before a conflict starts. The proliferation of non-state armed groups makes civilian protection both more urgent, and harder to achieve,” she said. For better protection of civilians in armed-conflict areas, the minister emphasised the need to increase investments in professionalising the military and police forces through adequate training. “Only when the leadership of armed forces shares the international...

Saudi King urges U.N. action against religious insults

Saudi King Abdullah urged the United Nations to produce a resolution condemning insults on monotheistic religions after the anti-Islam film in the U.S. that sparked deadly protests in many Muslim countries last month. (AFP) By AFP, MINA/SAUDI ARABIA Saudi King Abdullah on Saturday demanded a U.N. resolution condemning insults on monotheistic religions after a low-budget film produced in the U.S. sparked deadly protests last month. “I demand a U.N. resolution that condemns any country or group that insults religions and prophets,” he said during a meeting at his palace with religious figures and heads of hajj delegations in the Mina valley where pilgrims were performing final rituals of hajj. “It is our duty and that of every Muslim to protect Islam and defend the prophets.” A low-budget film produced in the U.S., Innocence of Muslims, triggered a wave of deadly anti-American violence last month across the Muslim world targeting US symbols ranging ...