Skip to main content

Upatikanaji wa huduma ya intaneti waongezeka nchini Somalia


Ingawa bado yako chini kulinganisha na nchi nyengine duniani, matumizi ya intaneti nchini Somalia yanakuja juu kidogo kidogo huku kampuni zikipigania wateja na raia zaidi wakiwa na fursa ya kutumia intaneti katika nyumba zao na sehemu za biashara.
Vijana wa Kisomali wakitumia mtandao wa intaneti katika Mkahawa wa Amudi mjini Mogadishu. [Mahmoud Mohamed/Sabahi]
Idadi kubwa kampuni za simu nchini Somalia - kubwa zaidi zikiwemo Global Internet, Golis Telecom, Telesom na Somtel - wanashindana kutoa huduma za intaneti kwa wateja na mikahawa nchi nzima kupitia mitandao mbali mbali ya minara, satalaiti, na mikonga ya mawasiliano.
"Mwaka wa 2000 watumiaji wa intaneti walikuwa chini ya asilimia 1 (ya raia wote), lakini idadi imepanda juu kwa miaka ya hivi karibuni hadi kufikia kiasi ya asilimia 2 katika mwaka wa 2011, kwa mujibu wa makisio yasiyo rasmi," alisema Abdisalam Mohamed, mkurugenzi wa masoko wa Global Internet, moja ya watoaji wakubwa wa huduma za intaneti katika eneo la kati na kusini mwa Somalia.
Mohamed alisema kampuni mjini Mogadishu sasa zinatoa aina mbalimbali za huduma za intaneti kwa watumiaji binafsi, kama vile DSL, huduma ya intaneti isiyotumia waya na za satalaiti.
Licha ya upatikanaji wake, huduma za majumbani hazijawafikia Wasomali wengi kutokana na ughali wake. "Gharama (za huduma) hizi ni kati ya dola 30 hadi dola 600 kwa mwezi, kulingana na kiwango cha huduma na kasi ya kuunganishwa inayotumiwa na mtumiaji," alisema Mohamed.

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.