![]() |
Waziri
wa Fedha Dr. William Mgimwa(kushoto) na Balozi wa Ujerumani nchini
Kluas Peter Brandes (kulia) wakisaini mkataba wa msaada wa miaka mitatu
jana mjini Dar es salaam ambapo Ujerumani itaipatia Tanzania msaada wa
Shilingi bilioni 352 . Msaada huo utasaidia kuboresha utawala bora
katika serikali za mitaa, sekta ya afya , nishati , maliasili, maji,
mfuko wa bajeti ya Serikali na kuboresha programu ya usimamizi wa fedha
za umma.
Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dar esalaam
Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dar esalaam


Comments