Ni baadaya fiesta washikaji tukatia timu kwenye disco la Olds School kwenye ukumbi unaomilikiwa na Mwana dada Jide , Nyumbani Lounge hapa sikuza jumamosi mangoma mpango mzima uongozwa na
Dj Peter Moe pichani wa kwanza ni mmiliki wa blog hii Machibya nikiwa na Dr Levy ambaye uchora katuni
maarufu ya Baba Ubaya kwenye gazeti pendwa la udaku la Kiu . Hapa mzuka ulikuwa mwingi full kuinjoy.
Comments