Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa
Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake
Tanzania (UWT)
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia
katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa
Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akisalimiana na wakongwe wa UWT katika ukumbi wa Chuo cha
Mipango mjini Dodoma baada ya kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake
Tanzania (UWT)
PICHA NA IKULU
Comments