Hapa ni kwa mdau Kinyerezi Mwisho Dar es Salaam , karibi na ile Rada yenye jina
kule kwenye mjengo UDOM . Ukishuka Kinyerezi mwisho unaweza kuulizia The Blue Point utafika bila shaka.
Mdau kawekeza , wadau wa kandanda fursa safi kucheki soka kupitia
Projector.
Kuna Pombe za kila aina mdau kajipanga kuwapa wakazi wa kinyerezi raha.
Kila ifikapo katikati ya mwezi na mwisho wa mwezi katika siku za jumapili au jumamosi wadu tunakwenda kupa kampani kwa kula bata pia nyama choma jiko huwa lina fanyiza nyama za kutosha huku tikichabo soko kwa utulivu mkubwa.
Comments