Skip to main content

Obama ampiku Romney mdahalo wa televisheni


Wagombea wa urais wa Marekani, Barack Obama (kushoto) na Mitt Romney.Kwa mara nyengine tena Rais Barack Obama ametajwa kumbwaga Mitt Romney katika mdahalo wa televisheni, ambao licha ya mada yake kuu kuwa siasa, masuala muhimu kwa wapiga kura, yaani uchumi na ajira, yalitawala mjadala.
Safari hii, wachambuzi wanasema kwamba mpira ulikuwa unachezwa uwanjani kwa Rais Obama - siasa za kimataifa - na hivyo alitumia vizuri ujuzi wake kwenye eneo hilo kuponda kile kinachoonekana kama uelewa mdogo wa Romney linapohusika suala la siasa za nje.
"Gavana Romney, nimefurahi kwamba unatambua kwamba al-Qaida ni tishio kwa sababu miezi michache iliyopita ulipoulizwa ni kipi kitisho kikubwa duniani kwa Marekani, ulisema Urusi, ilhali Vita Baridi vilimalizika tangu miaka 20 iliyopita.
Linapokuja suala la sera za nje, unaonekana kurudisha siasa za miaka ya 1980, kama vile ambavyo una sera za kijamii za mwaka 1950 na za kiuchumi za mwaka 1920. Unasema hupendelei kuigiza kilichotokea Iraq, lakini wiki chache zilizopita ulisema unafikiria tuongeze wanajeshi zaidi nchini Iraq." Obama alimdhihaki Romney.
Pakiwa pamebakia wiki mbili tu kabla ya Siku ya Uchaguzi, Romney aliutumia mdahalo wa jana kushadidia hoja yake kwamba Obama ameufuja uchumi wa Marekani

"Ili tuweze kuendeleza misingi hiyo ya amani, tunahitajika kuwa na nguvu, na hilo linaanza na uchumi imara hapa kwetu, na bahati mbaya uchumi si imara kiasi hicho.
Pale rais wa Iraq- samahani- rais wa Iran, Ahmedinejad, anaposema kwamba deni letu linatufanya tusiwe tena taifa kubwa, hilo ni jambo la kutisha. Mkuu wa zamani wa jeshi, Admirali Mullen, alisema kwamba deni letu ndicho kitisho kikubwa cha usalama wa taifa. Tumeudhoofisha uchumi wetu." Alisema Romney.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Mushikiwabo to UN: Enhance civilian protection

By Eugene Kwibuka Rwanda’s Minister of Foreign Affairs and Cooperation has urged the United Nations Security Council (UNSC) to invest more energy in the prevention of conflicts for better protection of civilians living in conflict-torn areas. Rwanda’s Foreign minister, Louise Mushikiwabo Louise Mushikiwabo made the call during an open debate on the protection of civilians in armed conflict which the UNSC held in New York on Tuesday. “Rwanda’s core message today is that enhancing the protection of civilians in armed conflict requires action before a conflict starts. The proliferation of non-state armed groups makes civilian protection both more urgent, and harder to achieve,” she said. For better protection of civilians in armed-conflict areas, the minister emphasised the need to increase investments in professionalising the military and police forces through adequate training. “Only when the leadership of armed forces shares the international...

Saudi King urges U.N. action against religious insults

Saudi King Abdullah urged the United Nations to produce a resolution condemning insults on monotheistic religions after the anti-Islam film in the U.S. that sparked deadly protests in many Muslim countries last month. (AFP) By AFP, MINA/SAUDI ARABIA Saudi King Abdullah on Saturday demanded a U.N. resolution condemning insults on monotheistic religions after a low-budget film produced in the U.S. sparked deadly protests last month. “I demand a U.N. resolution that condemns any country or group that insults religions and prophets,” he said during a meeting at his palace with religious figures and heads of hajj delegations in the Mina valley where pilgrims were performing final rituals of hajj. “It is our duty and that of every Muslim to protect Islam and defend the prophets.” A low-budget film produced in the U.S., Innocence of Muslims, triggered a wave of deadly anti-American violence last month across the Muslim world targeting US symbols ranging ...