Wakati majeshi ya Kenya na Somalia yanakaribia mji wa Kismayo, sehemu ya mkakati
wa miaka mingi wa Kenya karibu kukamilia.
Mpango wa kuwa na eneo la salama la kuzunguka mipaka ya Kenya karibu kukamilia:
Kwa miaka mingi, imekuwapo siri ambayo siyo siri tena, kwamba Kenya itapenda kuona taifa salama linaundwa nje ya mpaka wake na Somalia.
Huo ndio unaitwa makakati au mradi wa Jubaland.
Mpango huo unaungwa mkono na Wasomali wa Kenya.
Kati ya hao ni Waziri wa Ulinzi wa Kenya, Mohamed Yusuf Haji na mwanawe, Nuradin Yusuf, afisa wa ujasusi katika jeshi la Kenya.

Comments