Jaji Warioba akiongea na waandishi wa
habari leo na kuonyesha gazeti la jambo leo lililokuwa na picha ya
wafungwa wakitoa maoni ya katiba mpya huko mbinga akisisitiza umuhimu wa
makundi maalumu kupewa haki ya kutoa maoni yao.(picha ya gazeti la
jambo leo ilitolewa katika mtandao wa mjengwablog Picha na Tume ya KATIBA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments