MY
NAME IS ERICK artist name KINGKAPITA before was known as RICHBOI from
Tanzania Dar es Salaam HIPHOP artist wit HIT banger HERE WE GO wen with
WAKACHA - JUx, gigga FLO, NAS 3, ACHAAAaa with ma boy NAS 3 and MTOTO
MLITO by Nas 3 as ma crew members.
Hii sasa ni new hit club banger SHIKAMOO PESA niliyomshirikisha TASH
mzee wa CHAPIA mulemule kutoka arachuga,Wimbo umerekodiwa katika STUDIO
za ROCCANA BASEMENT chini ya producer jimmy jizze na mastering
kumaliziwa HOME TOWN record chini ya master Traveller
naomba support yenu sana wadau!!
ASANTENI MUNGU BARIKI KAZI YA MIKONO YANGU, MUNGU BARIKI MUZIKI WA
TANZANIA.Inatoka kwa mdau.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

Comments