Mabenchi yamepinduliwa na kuvunjwa
Mimbari imechomwa na kuharibiwa
Ofisi ya Kanisa imechomwa moto
Wachungaji wa kanisa hili wakisubiria taarifa kutoka polisi
Hawa wanafanya maombi na nimesikia wakiwaombea Waislamu Mungu awasamehe
Vifaa vya uimbaji vimechomwa moto
Washarika wakiwa kanisani kwao asubuhi hii
Gari la mchungaji pia limeharibiwa kabisa
Ofisi ya mchungaji na mwinjilisti zimeharibiwa kabisa
Kushoto
ni msikiti walipotokea Waislamu kabla ya kuvamia kanisa kulia. Nyumba
hizi za ibada ziko jirani zikitenganishwa na barabara tu.Inatoka kwa mjengwa.
Comments